BUSINESS PARTNER

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,018
Habari wadau,
kama heading inavyojieleza ni kuwa natafuta mtu serious, narudia tena mtu seriuos wa kufanya nae partnership kwenye biashara ya Usafi wa maofisini na food products packeging. Tayari nimeshafungua kampuni Brela, nina TIN isipokua tu leseni, ipo katika mchakato. Nina vifaa vyote vinavyohitajika kwa ajiri ya biashara ya usafi kwa 90%, nimeshaanza mchakato na nipo katika hatua nzr ya kutengeneza website ya kampuni, nina sample ya some packed products I can share it via PM kwa mtu ambae yuko serious na interested na pia gari kwa ajiri ya kusimamia operations za hy biashara ipo. What is basically missing, ni tenders/kazi, na some little of start up capital, sbb naamini kwenye kuanza hata kama utapata tender, itahitajika funds ili ku take care of some issues, however we can discuss this in detail incase mtu atakuwa interested, sababu so far sy issue kivile, pia ninao vijana standby kwa ajiri ya kazi hy ya usafi. Najua kuna mtu anaweza jiuliza kwann usifanye mwenyewe au ufanye na mru wa karibu yako, well, jibu ni kuwa kichwa kimoja pekee hajiwezi barikiwa kuwa na ujuzi wa kufanya kwa ufanisi kila kitu, so naamini ktk hii partnership ninaweza pata mawazo mapya ambayo yataweza kuisaidia biashara isonge mbele in one way or the other na pengine hata kupata mawazo mengine mazuri ya kibiashara. So kwa atakaevutiwa na hili naomba ani PM na atume tu japo a short write up why I should go with him/her......na kwa upande wa products za usafi(sabuni za maji) nimesha fanya designing na kuprint baadhi ya stickers, ila bado hazijawa tayari kwa ajiri ya biashara sababu nasubiri nimalize kushughulikia leseni ili niweze kuambatanisha na paperworks nyingine ili kuweka pata barcode ili iwe rahisi kuuza products kwa super markets, min supermarkets n.k

PIA nitafarijika mno na kuona heshima kubwa kumuhudumia mteja atakaetoka jukwaa hili. Kwa upande wa usafi, nafanya usafi sy tu wa "contract" maofisini, bali hata kama una nyumba yako mpya, unahitaji usafishiwe kabla hujahamia, au hata kama ni nyumba unaishi na unahitaji msaada wa usafi kwa ujumla, pia tunafanya shughuli hy, na tutatoa discount nzr ya kipekee maalum kbs kwa wateja watakaopatikana kupitia jukwaa hili na hasa uzi huu to be precisely.

Angalizo, don't waste ur time try to hoax, sababu you will end up embarrassing yourself katika jukwaa hili.

Asante!
 
Last edited:

Hongera mkuu kwa hatua uliyofikia, upo mkoa gani?
 
Boss Nakuja PM,
 
Umejieleza vizuri sana, hakika wewe ni mfanyabiashara. Naamini umeshapata tayari
 
Hongera seems interesting. Je huyo partner lazima atokee Dar? Ikiwa ndo biashara inaanza kama yuko mbali atawezaje na yeye ku monitor mapata na biashara inavyokwenda??
Shares ni % ngapi kwa ngapi? Meaning yeye atakua na asilimia ngapi ktk kampuni?
 
Hongera seems interesting. Je huyo partner lazima atokee Dar? Ikiwa ndo biashara inaanza kama yuko mbali atawezaje na yeye ku monitor mapata na biashara inavyokwenda??
Shares ni % ngapi kwa ngapi? Meaning yeye atakua na asilimia ngapi ktk kampuni?
Siyo lazima atokee Dar, tena kama upo mkoani hasa mikoa kama Dodoma, Mwanza, Arusha na hata Mbeya kuna uwezekano tukafungua branch na kutoa huduma sehemu hizo. Utawezaje manage mapato na matumizi ya kampuni? Well, tutaweka kila kitu kwenye paperwork, tutachagua operation officer ambae atakuwa anareport kwetu sisi pmj na kusimamia shughuli zote za kampuni...so huyu atakua neutral, atasimamia mapato na matumizi ya kampuni. Kuhusu shares itategemea wewe unatoa kitu gani....ila for more detailed info..ni pm tuyajenge
 
Idea nzuri, mi nataka kuongezea tu pamoja na shughuli hizo za kampuni ongezeeni na dry cleaner. Muwe mnafua na nguo pia kwanza inaendana na mambo yenu ya usafi na pia mtajiongezea na kipato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…