mkuu nimekuwa interested na hii ila details umeweka chache, ningependa kujua performance ya kampuni ndani ya miaka 3 ya karibuni, pia na financial position yake (assets na liabilities) kwa kuwa mtakuwa na records, kampuni ipo wapi , na nitapataje security ya uwekezaji wangu n.kNawakaribisha tushirikiane katika biashara kwa mfumo wa kununua shares. (Share dilution)
SECTOR: BUILDING MATERIALS/CONSTRUCTION
FORM OF BUSINESS: PRIVATELY LIMITED COMPANY
COMPANY EXPERIENCE: 5YEARS
NO OF SHARES SOLD: 490 (49%)
PRICE/SHARE: TSH 165000/=
MINIMUM SHARES: 20
For serious investors
Call. 0674 338225
Taratibu na ujasiriamali wako mzee; hebu toa details zaidi! Kila senti uliyonayo leo counts lots; inaitwa "the magufuli factor"! tunataka security baba!Nawakaribisha tushirikiane katika biashara kwa mfumo wa kununua shares. (Share dilution)
SECTOR: BUILDING MATERIALS/CONSTRUCTION
FORM OF BUSINESS: PRIVATELY LIMITED COMPANY
COMPANY EXPERIENCE: 5YEARS
NO OF SHARES SOLD: 490 (49%)
PRICE/SHARE: TSH 165000/=
MINIMUM SHARES: 20
For serious investors
Call. 0674 338225
Naona huyu anatufungia mbuzi ndani ya gunia!Kuna vitu viwili kwenye kuuza share
inawezekana kampuni inataka kufa then mtu anauza share ili kuiboost.
Maana hapo umesema minimum shares 20,ambapo ni sawa na 3,300,000
Je bila mchanganuo?
Note!
For serious investors
Call. 0674 338225 asante
Why Dont you go and list on DSE? Humu hupati watu, now that you can't explain what they want...Note!
For serious investors
Call. 0674 338225 asante
But they can sell their shares through "syndicate"...Private Companies 27.-(I) A ''private company'' means a company which by its articles(a) restricts the right to transfer its shares;
Note!
For serious investors
Call. 0674 338225 asante