Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Habari humu jamvini, Nina plot ambayo ipo kilometer 8 kutoka uwanja wa ndege KIA(Kilimanjaro International Airport) yenye ukuwa wa meter square 4500 na pia ina hati na ipo barabarani kabisa Arusha - Moshi. Inafaa kwa kuwekeza katika ofisi maana maeneo hayo hamna kabisa ofisi za private kama za ununuzi wa madini au hata tours. Natafuta mtu wa kufanya nae partnership ili tuweze paendeleza. Kwa alie interested plz aje PM