Business Patner kwenye ufugaji wa biashara anahitajika

nyamchele

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
1,325
Reaction score
1,034
Ni wakati wa kujikomboa kiuchumi. Napenda kuanzisha ufugaji wa biashara. Ahsanteni kwa mawazo
 
Ahsanteni kwa wale wote walionitumia Pm. I have to acknowledge you have been very supportive. Haturudi nyuma. mbarikiwe.
 
namm pia nina idea ze same to you na nina shamba ekar 6 mlandizi,wewe ulikua unaplan ya kufuga ni nin na nn?
 
sijaelewa kitu bado, au thread ilianzia mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…