Ferdinand Junior
Member
- Jan 27, 2021
- 31
- 21
Wengi wanafanya hiyo business.... Itapendeza zaidi iwe uniqueStationery itapendeza zaidi...
Thanks kwa ushauri wakoNakushauri huo mtaji endelea kuukuza sana kwenye hiyo hiyo ya MPESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA weka na crdb wakala, nmb wakala, pia luku na maji, hiyo biashara umeikwepa ya chakula ndio iko good sasa niulize mimi nimekaa hapo mipango na udom pia, chakula uza mikate fresh toka kiwandani na bites usisahau maji na soda vile vile, maaple pia weka kama urembo. Nawajua wanafunzi utauza mpaka milioni 2 kwa mwezi.
Angalia kama Kuna uhutaji Wa stationary uweke uwe na mtaalamu Wa Microsoft office.Habar zenu wana JF. Hope wote wazima.
Naombeni ushauri wa biashara nitakayoifanya mazingira ya chuo yenye kupata faida ukiachana na biashara ya kula na kuvaa. Frame ninayo ambayo ni kubwa 2 nimeanza na uwakala.
Asanteni
Mkuu fuata huu ushauri utakusaidia sanaa kwa hapo MipangoNakushauri huo mtaji endelea kuukuza sana kwenye hiyo hiyo ya MPESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALO PESA weka na crdb wakala, nmb wakala, pia luku na maji, hiyo biashara umeikwepa ya chakula ndio iko good sasa niulize mimi nimekaa hapo mipango na udom pia, chakula uza mikate fresh toka kiwandani na bites usisahau maji na soda vile vile, maaple pia weka kama urembo. Nawajua wanafunzi utauza mpaka milioni 2 kwa mwezi.