Business plan ya kuanzisha mradi wa kuku wa nyama (BROILER) 500

Hapo kwenye chakula mifuko 20 kwa kuku 500? ina maana kuku 100 wanakula mifuko 4 tu, big NO.
Embu niambie kwa kawaida kuku mmija aina ya broiler anahitaji kula kiasi gani cha chakula mpaka anatoka na maanaisha kwa wiki 4-5.....

Maana zaidi ya hapo utaishia kupata breakdown
 
Items 8 and 9 stand in place of electricity or umeme, hence it has been taken care of the this BUDGET AND NOT BUSINESS PLAN!
 
For sure it is a budget rather than a business plan.
The Broilers are eating overnight, therefore lighting is important to locate food and water, it differs from heating from charcoal.
 
Hizo "lightning" cost ndiyo zipi mkuu?
 
Dah nakumbuka pnd nasoma uhasibu course ya entrepreneurship tulifanya research na kuandika b plan kila mwanafunz aseee tulipata tabu make lecture kuhusu business alikua anafaham kila kitu ukimdanganya anakuumbua ila alitysaidia upande Wa ujasriamali sana sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kwa insight naanzisha soon broiler project
 
Safi
Inatosha
Issue ni kupata hiyo capital
Na management at all.
Lakini inawezekana!
 
Naam, mbona kafaida kadogo ukilinganisha na muda wa kusubiri? Maana kwa maelezo ili kuku aweze kuuzika ni walau kuanzia wiki 5 na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…