Habarin wana jf.....
Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership.
If interested pm me nikupe business plan niliyoandaa ili tuweze kuwekan sawa
Pia nahitaj ushauri kuhusu hii biashara.
Asanteni