Business plan ya ufugaji wa kuku

Business plan ya ufugaji wa kuku

Peter Agostino

Senior Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
105
Reaction score
229
1. KUKU WA KISASA WA MAYAI
2. KUKU WA NYAMA
3. KUKU WA KIENYEJI

Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea biashara yako kitaalamu.

YOTE 3 KWA BEI YA PUNGUZO NI SH. ELFU 10 BADALA YA ELFU 30

SIMU: 0712202244 au 0765553030
Email: jifunzeujasiriamali@gmail.com
 
Kwanini vitu vingine uziviweke ukapata hata thawabu, maisha mafupi pesa sio kila kitu.
 
Kila la heri kwa watakao nunua. Mimi nilishachukua ile michanganuo ya bure kule kwenye jukwaa la kilimo na ufugaji.

Lakini pia mimeshanunua vitabu vya kutosha tu vya bei nafuu kuhusu huo ufugaji wa kuku wa aina zote.
 
Kwanini vitu vingine uziviweke ukapata hata thawabu, maisha mafupi pesa sio kila kitu.
Watu wengine Bwana, hujui maana ya tangazo mkubwa? mpaka unakuwa jamii forum expert member bado unapotosha watu tu ili tusome unachoandika wewe vingine tupuuze? Jukwa hili si la kuchuja mtu aposti kitu gani ilimradi havunji taratibu za jukwaa, cha ajabu hapa ni nini nilichoweka? tuambie
 
Kila la heri kwa watakao nunua. Mimi nilishachukua ile michanganuo ya bure kule kwenye jukwaa la kilimo na ufugaji.

Lakini pia mimeshanunua vitabu vya kutosha tu vya bei nafuu kuhusu huo ufugaji wa kuku wa aina zote.
Nikuulize TU Tate, kila siku unatizama TV na kusikiliza redio, unafuatilia mitandaoni mambo chungu nzima na huachi, hivyohivyo unatakiwa unaposoma vitabu na majarida usichoke, wewe utahisi hamna unacho gain lakini kumbe ndivyo vinavyokupa ujanja uliokuwa nao sasa, kwahiyo mimi sioni kwanini uwakatishe tamaa watu wengine kujipatia vitu wanavyoona vitawasaidia kisa maoni yako kwamba eti havijakusaidia
 
1. KUKU WA KISASA WA MAYAI
2. KUKU WA NYAMA
3. KUKU WA KIENYEJI

Michanganuo hii (Business Plans) kwa lugha ya kiswahili na kiingereza ina kila kitu kuanzia muhtasari, soko, usimamizi mpaka taarifa zote za fedha. Unaweza kuitumia unapoandaa mchanganuo wako wa kuombea pesa mahali au kuendeshea biashara yako kitaalamu.

YOTE 3 KWA BEI YA PUNGUZO NI SH. ELFU 10 BADALA YA ELFU 30

SIMU: 0712202244 au 0765553030
Email: jifunzeujasiriamali@gmail.com
✊🏽✊🏽
 
Back
Top Bottom