Business plan

Hosea Ben

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
69
Reaction score
15
Natafuta mtaalam wa kuandika Business plan ya dispensary katika eneo la kijijini lenye wakazi 20,000. Ni shilingi ngapi na kwa muda gani?

Tuwasiliane kwa simu: 0752238263
 
Ulishapata mtaalamu? MIMI
Nitatumia wk 2, malipo ni 10% ya gharama yote ya mradi
 
Hofu yako tu mheshimiwa Mtoto Tajiri kiwango cha gharama ya mradi haitegemei sana mawazo ya mwandishi bali mwenye mtaji. na ndiyo maana kunakuwa na mawacliano ya karibu na ya mara kwa mara kati ya wadau hao 2.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…