OGOPASANA JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 262 Reaction score 144 Sep 6, 2011 #1 Habari Great Thinkers, Eti ni utaratibu gani unahitajika ama unatumika ili kuweza kupata mkopo bank ama katika financial services institution kubwa kwa ajili ya kuanzisha kampuni ama ofisi ndogo binafsi? With thanks.
Habari Great Thinkers, Eti ni utaratibu gani unahitajika ama unatumika ili kuweza kupata mkopo bank ama katika financial services institution kubwa kwa ajili ya kuanzisha kampuni ama ofisi ndogo binafsi? With thanks.