Adil_101
Senior Member
- Jul 26, 2022
- 110
- 345
Nimehudhuria mihadhara mingi sana ya Biashara na Ujasiriamali kwa miaka 3 sasa.
Na katika mihadhara hii nimekutana na speakers wazuri lakini wanastories mbaya.
Baadhi yao wanastories nzuri lakini hawajui jinsi ya kupangilia story zao hivyo huzifanya ziwe mbaya-nzuri.
Sometimes ku-link story iliyogawanyika vipande vipande ni kazi ngumu sana kwasababu unaweza sahau kusimulia kipande kinachopaswa kusikilizwa na watu.
How confusing would that be to your audience!
Kwa kila storyteller, kuna mbinu 1 yenye nguvu sana soecial for stage speakers.
Mbinu hii imetoka katika hatua 9 za Theater Method kutoka kwa Doug Stevenson.
Doug Stevenson alikuwa ni mwigizaji filamu ambae aliamua kuachana na Hollywood na kuamua kuwa.
Professional Speaker ambae akawa anawafundisha wafanyabiashara na wataalamu jinsi ya kutumia storytelling.
Kila storytelling speaker huwa na kawaida ya kutengeneza script ya story yoyote anayotaka kushare na watu.
Kwasababu story inayosimuliwa bila ya script huwa ina asilimia kubwa sana ya kuwa mbaya.
Katika hatua 9 za Doug, ametumia mbinu ya performance:
[emoji842]SHOW, DON'T TELL [emoji842]
[emoji843]SET THE SCENE: Huu ndio msingi wa kila story. Hii inaweza husisha tarehe, eneo na actions.
[emoji843]INTRODUCE THE CHARACTERS.
[emoji843]BEGIN THE JOURNEY: Story inaanza. Wahusika nao wanaanza story ya iliyojificha.
[emoji843]ENCOUNTER THE OBSTACLES: Kwa kila story nzuri, kuna changamoto.
Kikwazo kinachowazuia wahusika kutimiza malengo yao.
[emoji843]OVERCOME THE OBSTACLES: Hapa sasa story inaanza kuonyesha jinsi mhusika alivyokabili vikwazo vyake na kuibuka mshindi.
[emoji843]RESOLVE THE STORY: Kama utamaliza story yako basi lazima kutakuwa na swali kuwe na swali akilini.
Mwa wasikilizaji wako. Wataendelea kishangaa nini kilichotokea baadae.
[emoji843]PHRASE THAT PAYS: Hapa sasa ndipo ambapo lengo la story yako linapojidhirisha, na kusema kile ulichokuwa unataka.
[emoji843]CTA: Huwezi maliza presentation yako ikiwa bado inaning'inia.Hapa unamwambia msikilizaji wako nini afanye au unaeza muuliza swali la kumfanya achukue hatua sasahivi.
[emoji843]REPEAT THE PHRASE THAT PAYS: Ni muhimu sana kurudia point yako ili iweze ingia akilini mwa msikilizaji wako.
In essence, Hutakumbukwa kwa story uliyosimulia tu bali hata kwa point yako.
Hizi hatua 9 zikipangiliwa na kuwa scripted vizuri basi zinaweza kuwa Silaha zenye Nguvu sana kwenye stage.
I hope umepata kitu kipya.