jluvanda
Member
- Jan 15, 2013
- 66
- 5
BAA! ni mtandao maalumu chini ya kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited, Gorofa ya 10, Jengo Jipya la Ushirika Tower,Barabara ya Lumumba, Dar es salaam wenye lengo la kurahisisha mawasiliano kati ya wafanyabiashara wa kitanzania na viwanda marafiki wa Chinaworldbuz. Katika mtandao huu utapata fursa ya kujua majibu ya maswali mengi uliyonayo kuhusu biashara ya kimataifa kati ya Tanzania na China, pia utapata wakati wa kujua fursa za kibiashara kwa kuuliza bei za vitu na kuongea na viwanda marafiki wa Chinaworldbuz moja kwa moja kupitia mtandao huu, kutengeneza urafiki na jamii ya watu wa China, kwa sasa wachina wengi wanataka kufanya kazi na watu kutoka Afrika. Kwa kupitia mtandao wa baa utaweza wasiliana na marafiki na kujadili mambo mengi. Karibu Chinaworldbuz.
New attempts, new possibilities.
http://www.baa.chinaworldbuz.com
KARIBU SANA!!
New attempts, new possibilities.
http://www.baa.chinaworldbuz.com
KARIBU SANA!!