1. wazo
2. nini cha pekee/ ziada/ tofauti kwenye wazo
3. Wazo kama linauzika
4. Gharama la wazo lako.
5. Wazo be na che /saidizi. Wazo de, exit plan.
6. Mto wa kuangukia "iwapo utaanguka".
7. Neti ya kukuokoa kwenye majanga.
8. Punguza gharama ya wazo.
9.
I Wapinzani moja kwa moja. ~dagaa wa mwanza vs kigoma.
II. Wapinzani mbadala ~dagaa vs soya
10. Mauzo/faida.