Businesss concept

Businesss concept

Adorah

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
18
Reaction score
12
Kama kuna mtu angependa kuanza biashara na hana idea afanye biashara gani,nina business idea ambayo ninaweza kushare na wewe ambayo unaweza kutengeneza sio chini ya 500,000 kama faida kwa mwezi wa kwanza katika biashara bila kuanza na capital kubwa nitafute,iko limited kwa watu watano tu.
Email me:hpie059@gmail.com
 
Unaweza ukawa mkweli. Ila ushauri wa siku ingine. Ili uaminike zaidi, uwe na email angalau yenye jina lako au contact za uhakika ili kuwapa watu confidence.
Ungetaja mkoa na capital pia ingesaidia walioko serious kuku tafuta.
Kila la heri.
 
Huyu anatafuta mbia kiaina. Kama bussiness idea ni free foat it up watu wakusaidie kuiboresha.
Ungepata ushauri wa bure kutoka kwa magwiji wa project management.
 
Back
Top Bottom