Bussiness idea of the 2013

Iweke hiyo idea kwanza kabla ya kutuambia tukupigie, ni idea ya biashara gani ndugu yangu?
 
Samahani Bro nahofia Kudisplay But kama ukipenda naweza nikakuelezea kwa kifupi kupitia Email na akipatikana mtu itapoanza kurun nitapost sehemu ya projectwriteup yake
 
Samahani Bro nahofia Kudisplay But kama ukipenda naweza nikakuelezea kwa kifupi kupitia Email na akipatikana mtu itapoanza kurun nitapost sehemu ya projectwriteup yake

'Mwaego', hawakawii kukuzunguka wakapiga pesa ukaambulia patupu. Si unajua bongo tumekaa kiujanja ujanja?
 
Siwezi kuuza kaka nataka nishiriki kuhakikisha inasimama kwasababu idea yote ninayo mimi hata mtu niliye muelezea kwa kifupi kupitia email hawezi akairun successfull bila mimi kuwepo
niuzie basi kama umeshindwa. pm
 
Hii itakuwa Idea yangu ya 3, nilisha release zingine kama mbili hivi na zilifanyika kwa mafanikio, Moja nilifanya na Path Technologies compuny Nyingine nilifanya na access computer LTD Mbeya[
QUOTE=Micha;4459494]Una idea moja tu au idea mbalimbali?[/QUOTE]
 
Hata nikipost Project Write up Yote I belive Bila mimi kushere My Experience and more Idea Haiwezi ikafanyika successfull
'Mwaego', hawakawii kukuzunguka wakapiga pesa ukaambulia patupu. Si unajua bongo tumekaa kiujanja ujanja?
 
Kama unaweza kueleza kwenye email ina tofauti gani na kueleza hapa? Sema biashara gani watu wanunue hisa. Umeshaona kampuni inauza hisa halafu inafanya siri biashara yake?
 
Bro ni kwamba hujanielewa Nataka mtu mmoja tu ambae yupo tayari kuinvest au kama watakuwa zaidi basi waungane mimi ninachoweza ni ku fanya ni kusimamia mafanikio ya project
Kama unaweza kueleza kwenye email ina tofauti gani na kueleza hapa? Sema biashara gani watu wanunue hisa. Umeshaona kampuni inauza hisa halafu inafanya siri biashara yake?
 
Msamiati Mimi nimekuelewa Lakini hebu niambie Possibility ya Kuinvest 5m Then kupata Income 3m kwa mwezi:wacko:
 
Then Kama nikiwa nimeanza kurun nitaipost tu haina neno kisha atakaetaka kuwa mwana hisa atakaribishwa
Kama unaweza kueleza kwenye email ina tofauti gani na kueleza hapa? Sema biashara gani watu wanunue hisa. Umeshaona kampuni inauza hisa halafu inafanya siri biashara yake?
 
Kama umesoma vizuri hapo juu 5m ni kiwango cha chini kabisa where This Project can Start But Maxmum Investing Capital For this Project is About 15m na kuhusu 3m income unatakiwa ujue kuwa biashara inapitia stage mbali mbali kutokea kwenye staring point, kipindi cha kuelekea kwenye mafanikio mpaka inaposimama, katika hatua zote hizo kunakuwa na income tofauti xo 3m/month ni makadirio yangu kipindi cha katikati kuelekea juu
Msamiati Mimi nimekuelewa Lakini hebu niambie Possibility ya Kuinvest 5m Then kupata Income 3m kwa mwezi:wacko:
 
Msamiati, kama uko serious weka angalau hints za mradi unaotaka kufanya. Wawekezaji wanatakiwa kubembelezwa ndio watoe pesa zao. Sio wewe unayetafuta wawekezaji uwawekee masharti wakuandikie email. Kuna watu wanaitwa angel investors, hao ndio unaowatafuta wewe. Yaani mtu ambaye ataweka pesa zake kwenye mradi lakini asiwe directly involved kwenye daily running of the business. Sasa watu kama hao wapo wengi, lakini hawawezi kuwa na shida ya kukuandikia wewe email. Wewe ndiye unayetakiwa kufanya efforts za kuwafikia, kwa sababu wewe ndio mwenye shida. Angel investor hana shida, ana pesa ambayo ikikaa bank poa, akiinvest kwenye mradi wako poa.
 
Mkuu naomba nikupe Email yangu unipe kaintro kama inasound ur idea i wil find u!!! aba.pelham@yahoo.com
 
Nimekuelewa kaka ninapost baadhi ya hints dk chache zijazo thanx for advice
 
Mkuu naomba nikupe Email yangu unipe kaintro kama inasound ur idea i wil find u!!! aba.pelham@yahoo.com
 
Mkuu Msamiati hii ni bomba la idea. Even if not today, I am sure you will succeed. Haya ndiyo mambo tunayotaka vijana wa sasa wawe wanafanya badala ya kukesha wakilalamika. Safi sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…