Benki zetu ni Commercial Banks hazitoi mkopo kwa mtu anayeanzisha biashara. Aina ya mkopo unaohitaji huwa unatolewa na Venture capital Banks hizi ni benki zinazotafuta watu wabunifu ambao wana mawazo mazuri na kuwakopesha utaratibu huu uko nchi za Ulaya na Marekani. Kwa hapa kwetu sehemu ambayo unaweza kupata mkopo kama huu ni kwenye saccos. Swali la mwisho nikuulize jee kwa sasa unafanya shughuli gani ? Kwa sababu benki wanaangalia vyanzo vyako vya mapato na ukikopa utalipaje, Kama umeajiriwa unaweza kuomba mkopo toka NMB, Akiba Commercial bank, CRDB kwa garantii ya mwajiri wako, mkopo utakaopata utalipa kwa kukatwa kwenye mshahara wako. Kama una maswali zaidi nipigie simu nikupe ushauri zaidi 0755394701