Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Vifaa visivyo na vizuizi kwa walemavu" umemaanisha nini mkuu?View attachment 2136046
View attachment 2136047
Tarehe 1 Machi mwaka 2022, walemavu 50 walitembelea Bustani ya Olimpiki ya Beijing. Bustani hiyo imeweka vifaa 186 visivyo na vizuizi kwa walemavu kwenye maeneo yote ya umma, ili kuboresha huduma kwa watu hao maalumu.