Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Apr 17, 2014 #1 Hey JF this is evidence that Kim did surgery .Shame on her for faking it
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,029 Reaction score 3,520 Apr 17, 2014 #2 mh kweli?
kichunafk JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 992 Reaction score 479 Apr 17, 2014 #3 duuhhh, kumbe huu uzuri watu wanaugharamia sana aisee. Mwanzo hata hips hakuwa nazo ndo maana anaziringia sana na kuokesha hilo liwowowo lake la kichina
duuhhh, kumbe huu uzuri watu wanaugharamia sana aisee. Mwanzo hata hips hakuwa nazo ndo maana anaziringia sana na kuokesha hilo liwowowo lake la kichina
I iMind JF-Expert Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,039 Reaction score 4,889 Apr 17, 2014 #4 Ungeweka picha zote akiwa kwenye ukaaji wa aina moja. Kwa hapo ni ngumu kuona moja kwa moja.
Display Name JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 423 Reaction score 451 Apr 17, 2014 #5 Acha basi kutufanya watoto, huo ni udaku wa uongo hata kwa kuangalia tu unagundua hiyo ni mikao miwili tofauti na hiyo surgery ni story za kidaku tu.
Acha basi kutufanya watoto, huo ni udaku wa uongo hata kwa kuangalia tu unagundua hiyo ni mikao miwili tofauti na hiyo surgery ni story za kidaku tu.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Apr 17, 2014 #6 Ni kwelii huyu hilo ---- sio original