Busu la mdomoni !

punguza ufundi mdau usije ukawa ulimnyonya tigo au ulizama uvinza?unatuzuga hapa,maana ulimi huwa hauwash yakheee
 
uko sahihi ila utakuwa umechanganya wengi so hapo umeunda sumu kali sana. nenda kwa Babu
 
uwe unakiss kwenye mwanga, unakagua kwanza eneo lako la kazi
 
hahahha fangasi ioo kwiii kwiiii,tehe,tehe,teheeeee,,,,,heeeeeeeeee pole :A S 41::lalala:
 
pole, kabla hujakiss mtizame kama ana maziwa ya mgando pembeni ya lips.
 
Kiss inatakiwa kuwa tender. Ulienjoy wakati mnakiss au ulikuwa unaona kero?
 
Ulimbusu kama kwenye atavar yangu au ulinyonya denda? maana hivi ni vitu viwili tofauti. Pole lakini huo ni mwanzo tu, ukirudia mara mbili tatu utazoea tu.
 
Ninakushauri usitoe wala kupokea denda la mtu mpaka awe wako wa pekee umekuwa naye karibu unamjua usafi wake na mambo mengne kama kupiga mswaki mara 3 per day aweze.
Hata wale wanyonyaji wa dudu nawaomba waogesheni wenzenu B4 kwani mpo ktk risk kubwa sana kwa kufanya hayo.
Kuna uchafu mnakula tena hata awe msafi vipi kubali kuna uchafu wake unakula ila kama ni mmeo au mkeo au mtarajiwa basi fanya ukiamini uko radhi naye katika shida na raha.

SOMA HATA HAPA
Never, ever have anal sex, and find the happiness you deserve

BUSU LA MUHIMU SANA KATIKA MAPENZI ILA UWE MTAALAM WA KUBUSU, SOMA HAPA:
KISI ZA KITAALAM
 
Weeee denda 'ujuisi' ni tamu ile mbaya hasa upate lile la mtu unayempenda, sasa wewe ulipata juisi ya aina gani, au ulilishwa ya limao?
 
hahaaahahaa pole sana alikuwa hajapiga mswaki wiki tatu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…