Busu la ukweli

ha ha ha kwenye msandarusi
 
heeee!!! wapi CIA......jamaaa kama anakula parachichi vile.......my my!!!
 
We, umepata wapi picha yangu????!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kiatu siyo shida hata kwenye mkokoteni unapata kama hicho kwa 1000...
 
Tena vichakani kwa raha zao

Ndugu yangu Mfunyukuzi, Ninamashaka kidogo na hiki kichaka.
Kama ukiangalia vizuri utagundua kuwa siyo vichakani maana hiyo floor ina tarazo flani za mawe yetu yale.... :drum:
 
Nikiangalia vizuri naona kama jamaa anataka kuondoka na lip ya chini ya huyo binti haya mambo ya mizuka ikikolea yaweza kuwa kesi mbaya baadaye..!
 
So far ni busu bora zaidi lililowahi kutokea JF kwa mwaka 2010, kwa maoni yangu lakini
 
mmh busu au anamla mwenzie lips jamani??
 
Ni kama vile anazikata hizo lips kwa meno...wapiga picha wana kazi ya ziada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…