Nalaani utawala wowote unaopindisha taratibu kwa sababu ya mahaba ya timu. Lkn kabla sijaanza kuiponda TFF ya Karia kwenye kupindisha kanuni, natoa nafasi kwa wengi wenu mliokuwa mnatetea utumbo uliokuwa ukifanywa na Malinzi kwa sababu ya mapenzi. Mmeelewa sasa kasoro tulizokuwa tunazibainisha lkn mkawa mnajibu kwa kebehi? Mkiambiwa hivi sasa pambaneni na hali zenu mtasemaje?