Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.
Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,
Hebu msikilize wewe mwenyewe,
View attachment 3417207
chadema na polepole wote wanasema "no reforms no election"kazi sio polepole
Mzee ameamua kubalance stori ili wale jamaaa.....Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.
Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,
Hebu msikilize wewe mwenyewe,
View attachment 3417207
njooni kwenye uchaguzi tuwanyooshe
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.
Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,
Hebu msikilize wewe mwenyewe,
View attachment 3417207
CHADEMA SASA KILA MTU HAWATAKIHatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA.
Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya hivyo ni KUVUNJA KATIBA ya nchi,
Hebu msikilize wewe mwenyewe,
View attachment 3417207
Hiyo slogani ndio hamjaielewa. No election kwangu mimi siku hiyo sipigi kura. Je nimevunja sheria ipi?CHADEMA uelewa wao ni mdogo sana na hasa mwenyekiti wao
Kwanini ?CHADEMA uelewa wao ni mdogo sana na hasa mwenyekiti wao
CHADEMA uelewa wao ni mdogo sana na hasa mwenyekiti wao
MSIKILIZE VIZURI MZEE BUTIKUWewe dogo una umri gani...!?? Hizo ahadi hazijaanza kutolewa leo. Zilitolewa pia wakati wa Mkapa na pia Kikwete.
Kama ni kuvunja katiba tayari CCM wameshsivunja na wanaendelea kuivunja kila siku. Mzee Butiku angeanzia hapo.
Kwa nini tusilekebishe kwanza ndiyo twende kwenye uchaguzi. Uchaguzi siyo lazima ufanyike October kama kweli kuna nia ya kurekebisha.
MSIKILIZE VIZURI MZEE BUTIKU
hukubalina na yeye wapi?Nimemsikiliza. Sikubaliani naye na waxo like la kujisahihisha baada ya uchaguzi. Kwa nini tusifanye sasa....!!?
Uchaguzi ambao mgombea pekee ndiye ameisilimisha tume ya uchaguzi kuwahadaa watanganyika! No way, NoReNoE to stay.njooni kwenye uchaguzi tuwanyooshe