Nia na mtazamo wa Watanzania ni kupata Katiba Mpya ili iweze kusimamia Watanzania na Tanzania yao. Tuijenge, Tuilinde na Tuipigie kura muda utakapowadia.
Mna kazi kweli kweli ya kuweka hivo vbonzo, naamini mmetumwa na UKAWA na hii jamii forums iko kwa hujuma tupu, iko bias sana nahc imenunuliwa na UKAWA pia, uchunguzi umeshajulikana.