MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Then tusije itana Tanzania ni magaidiWrite your reply...pole pole anavuna alichopanda
Nchi inaenda pabaya sana, wote tusipopataka lakini inaonekana Genge wamedhamiria kuiingiza nchi kwenye machafuko.Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime.
Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue
Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa
"Gloves are off". We need to arm kwa kila nyezo vijana wa Gen-Z
Unadhani hadi anayafanya aliyoyafanya hakujua ambayo yangeweza kumkuta hapana alijua ila sababu ni jasiri na mzalendo wa kwelikweli amejitoa muhanga kwa ajili ya mtoto wako na mjukuu wako watakuja kusikia na kusoma habari zake kama shujaa wa taifa hili.Write your reply...pole pole anavuna alichopanda
Huyo mzee kisukari kinampeleka puta anaweza akatoka na kusifia kilichofanyika kwa polepoleKama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa
Yaani huyu butiku ni yuda iskarioti! Na hii imekuja baada ya tesha kutoka ,wamehisi nchi inapinduliwa! Uoga tu!Huyu mzee ndo kamchoma Pole pole pamoja na wenzake kadhaa.
.
Kesha rambishwa mzigo wa Maana na ile ya jana ni trailer tu soon ataanza kuonekana kwenye mikutano akimuimbia Mama yao Mapambio.
Kweli pesa sio mchezo.
Huyu mzee alichokifanya kwa Pole pole ni ukatili mkuu.
Moto haujazimwa bado ndio kwanza wanaendelea kuuchochea zaidiYaani huyu butiku ni yuda iskarioti! Na hii imekuja baada ya tesha kutoka ,wamehisi nchi inapinduliwa! Uoga tu!