Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yupo Ukerewe Sasa Hivi Anapiga Majukumu Mapya Nyota Ilinyolewa [emoji52][emoji2955][emoji848]
sawa ngosha wa DarJeuri sana jamaa na sijui hata wafumgwa alikua anaweza kuwasikiliza km mzeee mkubwa wa kaya alikua anamjibu km dogo fulani hivi hao wafunhwa si ndo balaaa
Wewe jamaa utakuwa unamjua vizuri au ABC toka Butimba unazipata vizuri Sana... Huo ndio ukweli Kituo kilichofuata baada ya Kuinuliwa ni ukerewe!!Yupo Ukerewe Sasa Hivi Anapiga Majukumu Mapya Nyota Ilinyolewa [emoji52][emoji2955][emoji848]
Hahaa hebu kuweni serious, yule jamaa aliporwa nyota?Wewe jamaa utakuwa unamjua vizuri au ABC toka Butimba unazipata vizuri Sana... Huo ndio ukweli Kituo kilichofuata baada ya Kuinuliwa ni ukerewe!!
samahani mkuu.Nikikunyoa Hizo Nyota Zako
Yaani Nimefanya Ziara Hapa Ili Kukunyanyua Unajua Nitakachoamua
Nikikunyoa Hizo Nyota Zako
Yaani Nimefanya Ziara Hapa Ili Kukunyanyua Unajua Nitakachoamua