DOKEZO Butimbaru ya ghorofani makutano ya majambazi Bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa

DOKEZO Butimbaru ya ghorofani makutano ya majambazi Bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Mi bishoo tu

Senior Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
122
Reaction score
294
OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote.

OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa kama kina elieli au zawadi.

Tuma Timu ya maaskari waaminifu waingie hapo ukajionee majambazi na vibaka wa Kila aina
 
Back
Top Bottom