KERO Butterfly Sports Bar iliyopo Tegeta Wazo imekuwa kero kwa wanachi kwa sababu ya kelele

KERO Butterfly Sports Bar iliyopo Tegeta Wazo imekuwa kero kwa wanachi kwa sababu ya kelele

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wananchi wa Tegeta Wazo mtaa wa Butterfly sports bar wanateseka na kelele zinazotokana na bar hiyo kukesha wiki nzima kuanzia Jumatatu mpaka Jumapili

MMida ya usiku wanafungulia sauti kubwa sana kiasi kwamba wananchi wa maeneo ya karibu wanashindwa kulala usingizi.

Ukiachilia mbali ukosefu wa maadili katika bar hiyo tunaomba mamlaka husika zitusaidie katika kuhakikisha kelele zao haziathiri watu wengine ambao wanakuwa sio wateja wao kwa wakati huo.

Wapo waliokimbia nyumba, hasa wapangaji wageni ambao wengine wameacha kodi zao kwa kushindwa kuhimili kelele za eneo hili.

Tunaomba mamlaka husika zitusaidie katika kulitatua hili
 
Back
Top Bottom