Buttocks Surgery Kills Beauty Queen...Poleni sana!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253
Former Miss Argentina Dies From Buttocks Cosmetic Surgery!



BUENOS AIRES, Argentina (Associated Press) — A 38-year-old former Miss Argentina has died from complications after undergoing cosmetic surgery on her buttocks.

Solange Magnano, a mother of twins who won the crown in 1994, died of a pulmonary embolism Sunday after three days in critical condition following a gluteoplasty in Buenos Aires.

Close friend Roberto Piazza said the procedure involved injections and the liquid "went to her lungs and brain."

"A woman who had everything lost her life to have a slightly firmer behind," he said.

Magnano's burial Monday was shown on Argentine television.

Dr. Gonzalo Cortes y Tristan said she arrived at his hospital with an acute respiratory deficiency. Her condition deteriorated until she suffered the embolism.

http://www.huffingtonpost.com/2009/11/30/solange-magnano-argentina_n_374716.html
 
tunapenda sana kumkosoa mungu ..hapa sijui ndo tunmanisha hajui anachokifanya ??
 
Na yule mke wa mheshimiwa mmoja aliyemeza zile dawa za kukuza makalio na kalio moja lika over grow amefikia wapi?? Turidhike na tulivyoumbwa. Pia nafikiri unapomuoa mke unakuwa umeridhika naye kila kitu (angalao kwa 90% basi), sasa iweje tena mamsapu huyo aone hafai basi anataka awe wa tofauti.

Kuna kisa kimoja mzungu alimpenda binti wa Kitz na wakawa wachumba basi mzungu akarudi ulaya ili akaandae ndugu na mahali pa kufikia wakati wa harusi na akawa amemwacha binti bongo. Huku nyuma binti akajipaka mkorogo akifikiri atamtoa mzungu kimasomaso. Mzungu kurudi akamtema nakumwambia "You are not the one I loved and commited to dedicate my entire life". Kesho yake akaomba emergency travel agent akabadili return ticket yake akapaa!!!! First sight love should be maintained. Ukiizidisha manjonjo basi jua unapaka kitumbua mchanga. Take it.
 
tunapenda sana kumkosoa mungu ..hapa sijui ndo tunmanisha hajui anachokifanya ??

Wengine wanasema eti mtu kabla hujamalizwa kuumbwa tayari unachopoka nduki duniani baadaye ndo unajikuta haupo unavyopenda
 
Inasikitisha kwanini watu hawakubali uumbaji wa Mungu sasa kaamua kujitengeneza kabla hajamaliza alivyotaka Mungu kamwambia njoo, habari atakayoipata huko anajua yeye na Mungu wake, turidhike na tulivyo.
 
Mbona wachina,wahindi wako so simple? mikorogo at least imeisha imekuja ya kichina sasa sijui tutakwenda wapi akinadada mridhike na maumbo yenuuuuuu......
 
Ukitaka uzuri sharti udhurike!

...aaah mpaka na kufa mkuu?

Hapa nadhani huyu mama alizidisha 'risechi'. Inanikumbusha ile
ishu ya mamake Kanye West naye.
 
Inasikitisha kwanini watu hawakubali uumbaji wa Mungu sasa kaamua kujitengeneza kabla hajamaliza alivyotaka Mungu kamwambia njoo, habari atakayoipata huko anajua yeye na Mungu wake, turidhike na tulivyo.

Najaribu kutafakari hio scenario ambapo Mungu anakuuliza nini
kilicho kuua nawe unajibu eti "nilikua nazidisha makalio na nilipoamka
nikajikuta huku. Sindano bado zipo matakoni!...Gaadeeemmm!!!...😀
 
 
ngoshwe

ngoshwe Today is Tomorrow u feared about Yesterday!
Senior Member
Join Date: Tue Mar 2009
Location: everywhere suits a man
Posts: 113
Thanks: 2
Thanked 23 Times in 17 Posts
Rep Power: 21





SASA NGOSHWE SIJUHI NA WEWE UMEJIPAKA NINI MAANA NINA UHAKIKA UKUZALIWA HIVYO

TOA KWANZA KIBANZI NDIO UONE BORITI
 

Anafanya kazi ya kunyamazisha watoto wanaolia kuogopa sindano kule Muhimbili....lol

MJ
 
anafanya kazi ya kunyamazisha watoto wanaolia kuogopa sindano kule muhimbili....lol

mj

Kituko, MJ, hii ndio uhalisia wenyewe wakubwa!, hauna boliti, kibazi wala kutishia watoto!
 
Confidence Confidence Confidence Confidence.. Kujiamini Kujiamini .... Fanya lolote unaloweza , soma kila kitabu unachoweza uwe na Confidence kwenye maisha yako. hakuna binadamu anayekukamilisha jinsi ulivyo kwa mitazamo yao au mawazo yao. Umeumbwa kwa mfano wa mungu ewew binadamu .. you have value .. dont worry ... be confident of yourself. By the way you just found yoursewlf the way you are .. so dont take any responsibility and start changing ..no no no YOU ARE OK .. You have God's DNA in you .. YOU ARE FINE.

Hatat kina dada mnaotumia mikorogo na kujichuchubua tataizo ni Confidence hamjipendi mnajichukia.....na mnaovaa nywele za bandia ... tatizo ni Confidence you want to be somebody else ..no no no YOU ARE FINE .. with your hair ... you were created by GOD .. You got god;s DNA dont let you GOD down by walking with less confidence.. because he created you !! You are great the way you are ..
 
Masikini weeeeeeeee!! Urembo umemdhuru kwa kutaka m.a.ta.ko mazurii.
 
Uzuri ni kwamba hata hayo mabadiliko tunayoyataka hayawezi kutuongezea urefu, kutubadilishia wazazi wala kutuepusha na mauti
 

Mkuu hayo ya kuumbwa kwa mfano wa mungu yanahitaji detailed data!. Labda kwa damu, manake kwa sura duh,,,,wale wafuasi wa Lucifer http://www.churchofsatan.com/home.html hawataki kusikia hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…