Jamaa wapo poa, wanakuuzia simu wao, kama unayo simu inayofaa wanaonstall software hiyo ya button pay, wanakusajili kama wakala, unachofanya baada ya kusajiliwa unatuma pesa kwenda namba ya simu watakupa, hiyo bamba ulisha itumia pesa wao watakuingizia muamala kwenye akaunti yako ya button pay, yaani float balance.
Ukiwa na button pay unaweza ukauza luku, dstv,star times, na kuuza vocha za aina zote nicheki kama vipi sema nipo mwanza 0687387545