Button za gari....

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
95
Nina gari yangu Carina Si..pale chini kwenye gear liva kuna button ziko pale zimeandikwa PWR na MANU naomba mnisaidie kujua matumizi yake
Lakin pia kuna kabatan kapo kwenye gear liva ukikaminya kanatoa ujumbe wa O/D
OFF
NAOMBA MNISAIDIE KUJUA MATUMIZI YA HIZO BUTTON
 
Usihangaiki Swali Lako Limejadiliwa Humu Jf Kwa Marefu Na Mapana
Muhimu Search Utapata Kila Ulilouliza
 
😵😵 Tanzania madereva kazi ipo
 
Hicho kibatan cha kwenye gealiva ni over draiva kikiwa on ukigusa mafta kidogo tu gar inaongeza speed but inashauriwa kukitumia kama uko speed kuanzia stin kuendelea nakama unaenda mbal ilatu ujue umeongeza ulaji wa mafta.hizo za chin unaweza kuitumia gar kama manu inaman haiwez kubadili gea yenyewe iwe kuongeza au kupangua
 
hembu soma tena vizuri ulichokiandika mkuu hapo juu ya maelezo ya batton ya over drive. kwani unapo bonya na taa ikawaka inamaana over drive ipo on or off?

na je inashauriwa wakati wote gari itembee hiyo botton ikiwa on au off?
 
Mbona unapotosha kama ujui acha kujitia kimbelembele kujibu.
 
hcho cha OD ni over drive kinapaswa kuwa on mda wote ndo mana ukitoa inaleta ujumbe OD off ....ujumbr huo ukija ni kwmba umezuia.gar kutembelea na zile gia ambazo ni over drive mfano 1st -2.76:1
2nd- 1.59:1
3rd - 1;1
4th -0.696:1

OD ikiwa off means unatembea na.mwisho gia tatu kwa gia box hiyo hapo juu no 4 ni over drive yan engine speed ni low than output shaft kutoka kweny gia box
 
LEGE inapaswa kua on mda wote hiyo button na ndo mana ukitoa inawaka O/D off kukumbusha urudishie ....swal je kama inapaswa kua on mda wote kwann wekwa option ya kutoa?? jibu ni kwamba kama una tow kitu labda a trailer hivi afu sehem kuna milima au hata kama hamna milima lakin mzigo ni mzito shart utoe OD ili gar ichanganye vizur
 
Nakushauri ukajifunze udereva. Siyo lazima lakini ni muhimu
 
Nakushauri ukajifunze udereva. Siyo lazima lakini ni muhimu
Hayo hayapo huko mkuu maana kila siku gari zinakuja na technology mpya so si kila kitu utakikuta darasan na vyuo ving vinafundisha magar ambayo ni manual
 
Haya ndo maelezo sahihi ya OD,ila hizo gear ratios ndo sina uhakika nazo,ngoja niingie chimbo kwanza
 
Nakushauri ukajifunze udereva. Siyo lazima lakini ni muhimu
Kwenye magari ya mafunzo ya udereva mengi hayana hizo options!Fikiria mimi nilijifunzia udereva landrova 109,sema tu unajiongeza kutokana na mabadiliko ya teknolojia!Bwana google has almost all the answers 4ur technological question.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…