technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 12,706 Reaction score 52,355 Apr 6, 2020 #1 Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Apr 6, 2020 #2 Hawaamini kuwa ligi unafutwa?
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,771 Apr 6, 2020 #3 Chelsea wakiona hii post wanapanic