Na sio Mbagala wala Tandale tena.Siku hizi Buza imekuwa talk of the town.
-Kaveli-
Njooni tujumuike watu wa Buza,kwa mama kibonge Buza kwa lulenge,Buza kanisani Buza captown,Buza kwa mpalange,Buza kwa Dona,Buza machine ya maji,nk
Nililazimika kwenda kutalii nione kuna nini kipyaBuza sasa hivi ndo sehemu inayovuma sana kwa dar
Ukakuta niniNililazimika kwenda kutalii nione kuna nini kipya
Akakuta watu wanaenda sana kwa "Mpalange"Ukakuta nini
Nililazimika kwenda kutalii nione kuna nini kipya
Bomba sana lami mitaani,kunapendeza.Mi nipo Dar ila sijawahi kufika ila nahisi ni uswahilini sana
Kuna watoto wa kike dogodogo wamenyoa kiduku wameweka way halafu wamevaa sandals za manyoyanyoya...watatu niliokutana nao walikuwa wananukia janiUkakuta nini