Buzwagi waanza Kuzalisha Dhahabu!

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
747
Jamali mali yetu inaondoka hivyo! Wakati tumezama kwenye ubishi wa Mengi-Rostam-Manji, jamaa wanaendelea kuvuna huko Buzwagi!

Sijui hii ishu iliishaje? Siye wengine ni wapiga filimbi, wenye mbio waanze kufukuza hapahapa tuone kama kodi yetu imelipwa au ndiyo yaleyale ya siku zote.


Sourse: Minining Weekly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…