BVM BVM BVM Ni Nouma

kasome haraka acha kulalamika, mie mwalimu wako ala!
 
Dogo acha kulialia. unadhani wwe ni wa kwanza kusoma bvm? chezea sua wewe? kaulize.. wala hutakiwi kuja hapa jamvini, labda unataka wazee wa vet wazae na wewe.
 

========================================================================

Ulizoea kunyonga, kuchinja huwezi. Kama ulidhani kusoma ni starehe, fanya, baadae DISCO. Na mbaya zaidi ukimaliza BVM hakuna ajira za moja kwa moja, labda uombe kibarua kuuza duka la mifugo!!!!!!!!! Pole sana kijana mshamba.
 

Acha kulalamika wewe, badala ya kusoma unakuja JF kulialia na una bahati point hazikukurusu kwenda pale muhas, ungepambana na Anatomy, Biochemistry na Physiology!
 
dogo ww hiyo ni mwanzo bado prof. wambura ,prof. mallago na wengne kibao ....yaani unapewa mtihan una maswli 100 kila mtu la kwake yaani hakuna kuangalizia ...dogo komaa ila ukichoka sana kupiga msuli unaenda facaulty a.k.a kahumba
 
Taaluma zingine ngumuuuuu, inaisoma muda mrefuuu na future yake pia nayo hailewekagi
 
hahahahhahahahah kijana kama unaona huko tait njoo huku engineering tu resolve forces!!! bado hujachelewa nafasi bado zipo!!! komaa mkubwa!!!!
 
Ndo maana serikali inapaswa kuwaongezea manjee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…