Mleta mada, kuna tatizo gani kwa Dammbaya kupenda ubunifu wa mtu mwingine na kuamua kufanya kama yeye? Unataka kutuambia ni kitu gani utakachoanzisha leo ambacho hakijafanywa na wengine? Acha hizo! Ni sawa na mtu kufikiria kuanzisha aina yake ya mshono wa suruali, au kutumia njia nyingine ili kuingia ndani kwake pasipo kutumia mlango kwa kuwa vitu hivyo kuna waatu walibuni!