Bw. Hamis Dammbaya vipi bhana!!

Bw. Hamis Dammbaya vipi bhana!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Bw. Hamis Dambaya akiripotia Mlimani TV. Namsikiliza katika Jarida la Habari akiruka na kijambo cha Wiki. Staili anayotumia ni ya aina yake, awali nildhani ni ubunifu wake katika tasnia ya habarii kumbe ...unagundua...

YouTube - Moments 2010: Best of bull's-eye

YouTube - Bull's-eye: Every Friday with Emmanuel Juma

khaa..ni uigizaji alioufanya toka kwa Emmanuel Juma kupitia Kipindi cha BULLS EYE kinachorushwa kila Ijumaa na NTV ya Kenya...:


YouTube - Bull's-Eye: Things fall apart

9k=
 
Back
Top Bottom