ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 May 15, 2011 #1 Bw. Hamis Dambaya akiripotia Mlimani TV. Namsikiliza katika Jarida la Habari akiruka na kijambo cha Wiki. Staili anayotumia ni ya aina yake, awali nildhani ni ubunifu wake katika tasnia ya habarii kumbe ...unagundua... YouTube - Moments 2010: Best of bull's-eye YouTube - Bull's-eye: Every Friday with Emmanuel Juma khaa..ni uigizaji alioufanya toka kwa Emmanuel Juma kupitia Kipindi cha BULLS EYE kinachorushwa kila Ijumaa na NTV ya Kenya...: YouTube - Bull's-Eye: Things fall apart
Bw. Hamis Dambaya akiripotia Mlimani TV. Namsikiliza katika Jarida la Habari akiruka na kijambo cha Wiki. Staili anayotumia ni ya aina yake, awali nildhani ni ubunifu wake katika tasnia ya habarii kumbe ...unagundua... YouTube - Moments 2010: Best of bull's-eye YouTube - Bull's-eye: Every Friday with Emmanuel Juma khaa..ni uigizaji alioufanya toka kwa Emmanuel Juma kupitia Kipindi cha BULLS EYE kinachorushwa kila Ijumaa na NTV ya Kenya...: YouTube - Bull's-Eye: Things fall apart