Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Kwa Mtazamo wangu mimi naona Raisi wa Kenya Bw.Uhuru Kenyata anacheka na nyani (Bw.Raila Odinga) na matokeo yake atavuna Mabua!
Kama kuna kitu ningeweza kumshauri huyu dogo (Uhuru Kenyata) ni kumpa Bw.Raila Odinga House arrest mara moja yaani asiruhusiwe kusafiri nje ya Nchi vinginevyo kama akiendelea kumlea lea atayaona yaliyompata Mubaraka wa Misri...
Huyu Bw.Odinga ni kibaraka wa Wazungu na anakula njama na Wazungu kuimaliza Kenya, najua Wakenya mtasema Kenya inanihusu nini mie MTanzania, inanihusu kwa maana kama Kenya ikiangamia kama Somalia au Uganda nani anayefuata kama SIYO sisi (TZ)? Hivyo ni lazima tuhakikishe (Watz) Kenya haingukii kwa huyu kibaraka...