chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Dec 29, 2022 #1 Sina taarifa naye ila huyu jamaa alitamba sana sana kwenye kundi la chuchu sound kwa jina la bwa chuchu. Misemo iliyotumika kwenye nyimbo "Nimekalia bigijiii unataka ni kuband...." Hivi yupo kweli huyu?
Sina taarifa naye ila huyu jamaa alitamba sana sana kwenye kundi la chuchu sound kwa jina la bwa chuchu. Misemo iliyotumika kwenye nyimbo "Nimekalia bigijiii unataka ni kuband...." Hivi yupo kweli huyu?
Philipo D. Ruzige JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 9,428 Reaction score 27,096 Dec 29, 2022 #2 [emoji41][emoji41][emoji41]Bwa Nchuchu Mizinguo sana. Mbunge wetu wamembandua Mtoto unachezea koki, utalowa
[emoji41][emoji41][emoji41]Bwa Nchuchu Mizinguo sana. Mbunge wetu wamembandua Mtoto unachezea koki, utalowa