K KISUNZU Member Joined Sep 12, 2013 Posts 43 Reaction score 5 Sep 16, 2013 #1 Unaifahamu hyo shule? Ipo mkoa wa kigoma,wilaya mpya ya buhigwe kijiji kimoja cha bukuba. Kama unataka kusomea kigoma karibu njoo uombe utapewa. Ni shule ya serikali. Kitaaluma siyo mbaya maana taaruma ni wewe mwenyewe.
Unaifahamu hyo shule? Ipo mkoa wa kigoma,wilaya mpya ya buhigwe kijiji kimoja cha bukuba. Kama unataka kusomea kigoma karibu njoo uombe utapewa. Ni shule ya serikali. Kitaaluma siyo mbaya maana taaruma ni wewe mwenyewe.