Bwalya aliyekuwa anawindwa na mnyama asaini El Gouna ya Misri

koboG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
2,763
Reaction score
5,167


NYOTA wa Nkana FC ya Zambia, Walter Bwalya amejiunga na timu ya El Gouna FC ya nchini Misri.

Bwalya alikuwa anatajwa kuwindwa na Simba ili kuziba pengo la Emmanuel Okwi ambaye hajaongezewa mkataba ndani ya kikosi hicho ambacho kimeweka kambi nchini Afrika Kusini.

Amesaini kandarasi ya miaka mitatu kwa dau linalotajwa kuwa na thamani ya dola 650,00 sawa na bilioni 1.4 za kitanzania.
 
Hiyo dau kwa simba ingekuwa ngumu kumnunua,ni bajeti ya wachezaji kama 4 au 5 ambao wana viwango vikali kwa africa mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…