Bwana afya unafanya nini sasa!

Bwana afya unafanya nini sasa!

Hakuna kukata tamaa

New Member
Joined
Jun 2, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Habari.

Ktk manispaa hii kuna mitaa michafu Sana ikiwemo mtaa wa mshangano yani pale stendi ya malori zimemwagwa taka Hadi pananuka hazijazolewa.

Njia ya kwenda kwa diwani kuna taka njiani yani mnataka Hadi tupate mlipuko wa magonjwa?

Wilaya yetu maeneo ya kumwaga taka na kuzichoma yapo mengi tu ardhi bado tunayo sasa kwani hii hali?

Kubwa said mtaa yup ndio unaongoza kwa watu wake wanaofanyia shughuli hapo stendi kwenda kujisaidia porini mama kuna pori la tbc pale ndiyo chaka lao.

Afisa afya manispaa na afisa afya kata amkeni nendeni pale ni aibu tena mkienda pitieni na solo la CCM kuna mama anapika viazi anatumia kuni moshi unaofuka hapo unakwaza majirani.
 
Asa mbona mleta nada hujataja hata wilaya! Huyo Bwana afya mnafahamiana?
 
Habari.

Ktk manispaa hii kuna mitaa michafu Sana ikiwemo mtaa wa mshangano yani pale stendi ya malori zimemwagwa taka Hadi pananuka hazijazolewa.

Njia ya kwenda kwa diwani kuna taka njiani yani mnataka Hadi tupate mlipuko wa magonjwa?

Wilaya yetu maeneo ya kumwaga taka na kuzichoma yapo mengi tu ardhi bado tunayo sasa kwani hii hali?

Kubwa said mtaa yup ndio unaongoza kwa watu wake wanaofanyia shughuli hapo stendi kwenda kujisaidia porini mama kuna pori la tbc pale ndiyo chaka lao.

Afisa afya manispaa na afisa afya kata amkeni nendeni pale ni aibu tena mkienda pitieni na solo la CCM kuna mama anapika viazi anatumia kuni moshi unaofuka hapo unakwaza majirani.
Sasa sisi wanga tujue Kuwa unaongelea makoroboi,Tandale kwa tumbo,kwa mpalange au uwanja wa fisi🤔
 
Back
Top Bottom