Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Mihogo wana shindia wanachuo ujueToka form 4 failures nenda kwa wala MIHOGO [emoji23][emoji1787]
Yaani kwa kuandika hivi tu unaonesha uko kilaza kiasi ganiHamia yanga huku Simba hatutaki mashabiki vilaza!
Maneno ya wasemaji hayo usiyachukulie serious sana.Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
We topolo ushakula mihogo?Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
Si ndio hao wametoboa form 4 😂Mihogo wana shindia wanachuo ujue
Hama kengewahed,Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhame Yanga?
Kwa mujibu wa semaji wewe pia ni form4 failureHama kengewahed,
Simba sc haina shabiki KILAZA
Hata Ismail Aden Rage alipokuwa Mwwnyekiti wa Klabu yenu, naye aliwahi kuwaita mbumbumbu.Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?
Nina division one ya point sevon narudia one ya point sevon manara kila siku ana mkejeli Ahmed Ali ila yeye kajibiwa mara moja tu analalamika yaani dr mwaka haji manara diva the bawse na mange wana matatizo ya saikolojia yaani wao wanatuka na kukejeli wenzao kila siku ila wakiguswa tu wao wanakuja juu.Kwa masikitiko makubwa nawasilisha malalamiko yangu dhidi ya msemaji wa Simba. Amekuwa akitukandia sana Form Four Failure Kwenye spichi sake. Sasa Sisi mashabiki wa kolowizard tuliofeli Form Four Tuhamie Yanga?