EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote