EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Mbona hatujakutuma?Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote
SawasawaMbona hatujakutuma?
Kwanza nenda huenda wewe ni msukule ukaponywe
Sindano sio uziUzi tayari
Afadhali Gwajima aendelee na kazi ya kufufua misukule kwani 2025 hawezi tena kushinda ubunge.Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote
Kama kawaida yake kasahau jimbo anatafuta sadakaKuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote
Unadanganyika kirahisi namna hii? Hujui hata ile kuhudhuria tu umeshampa faida huyu tapeli?Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote
Du we mwenyeji kweri kweri(in magu voice) huyu bwana misukule atakuwa mlima reliHahahaaaa patakuwa pamekauka na vumbi la tarafani na maperere au DDC yote na kipande Cha mlima reli, mbalizi ule mji daah.
Una legend beki makini Bahati Mwaipopo, Kiungo hatari Willey Njau malegend wa Tiger FC enzi hizo, Bahati na Classmate wake Monti Kipoke Sec hatari sana, Hapo Rungwe Sec ilikuwa na Mkali mmoja hio 1990 alikuwa anapiga mpira hatari sijui ni Mponjoli yule.
Kweli aisee achague kumfaapoAfadhali Gwajima aendelee na kazi ya kufufua misukule kwani 2025 hawezi tena kushinda ubunge.
Nipo pale kwasababu maalumu gwajima ni mkusanyaji tu wa watu nitimize malengo yangu ya kwenda pale mimi namtumia gwajimaUnadanganyika kirahisi namna hii? Hujui hata ile kuhudhuria tu umeshampa faida huyu tapeli?
Yupo huku mkuuAmfifilo Yupo Mbeya
Hahahah alikuja Tabora akaleta misukule fake ikiwa na simu janja 😅 misukule haifahamiki hata asili zao 😅Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya.
Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa ikibidi kupata picha zao na kuziwasilisha kwa nyinyi mlionituma hapo uwanjani ukizingatia JF ina mkono mrefu unaofika popote
Huyu jamaa anatuaibisha sana Na kuudhalilisha Wokovu.Uzi tayari