Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, aliyepotea muda mfupi baada ya harusi yake na baadae kukutwa kwa mganga wa Kienyeji Chakechake Pemba, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ameachiwa huru kwa dhamana.
PIA SOMA
- POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.
PIA SOMA
- POLISI: Bwana harusi alijificha kwa mganga.