Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, aliyepotea muda mfupi baada ya harusi yake na baadae kukutwa kwa mganga wa Kienyeji Chakechake Pemba, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu ameachiwa huru kwa dhamana.