Bwana HESLB anakuja.!

Mambaenock

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
427
Reaction score
107
Wana jf nadhan mnamfahamu vizuri sana huyo niliyemtaja hapo juu soon tu atakuja kunyamazisha mbwembwe zenu hizo za kusema chuo cha kata,tarafa,wilaya, mkoa,
jimbo n.k
atakapowachinjia baharini na kurudi jukwaani kuomba ushauri.!
 
bora waje,maana tumechoka na maneno humu. Watu kila siku wanapost tcu, chuo cha kata mara kozi hzo mbaya.
 
yote yawezekana,kuondoa au kuzidisha but wana acheni mbwembwe tumechoka......
 
Kwa uwezo wa Mungu nitafanikiwa coz HESLB nao wako chini ya Mungu
 
Ibara ya katiba 11(2) inasema hivi, "every person has the right to access education,and every citizen shall be free to pursue education in a field of his choice up to the highest level according to his merits and ability" na Ibara ya 11 (3) inasema hivi " the gvt (SHALL) make efforts to ensure that all persons are afforded equal and sufficient opportunity to parsue education and vocational training in all levels of schools and other institutions of learning" nimeliweka neno shall ktk mabano nikimaanisha neno shall kisheria ni LAZIMA HAKUNA MBADALA, lkn je serikali inatimiza? kwa inini iweke ubaguzi ktk kutoa mikopo? kwa ujumla katiba inavunjwa lkn watakuja watokee waelewa wafungue kesi ya kikatiba haya yataisha tu. ndo mchango wangu
 

safi sana huyu ni great thinker kama mimi i bet utakuwa umesoma chuo cha gvment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…