Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kumalizika na ndugu TAL kuibuka na ushindi dhidi ya bilionea FAM, makada mbalimbali wa Chama cha mapinduzi walionyesha kutokuridhishwa na matokeo hayo.
Kada Mojawapo akiwa ni Lucas Mwashambwa alionekana mitaa ya mlowo Mbozi akiongoza maandamano maarufu kwa jina la "NIMEBUBUJIKWA NA MACHOZI" akiitaka mamlaka kuingilia kati maamuzi ya uchaguzi huo.
Habari hizi zimeendelea kusambaa na kupelekea ongezeko kubwa la wadau wa hashtag ya #NIMEBUBUJIKWANAMACHOZI ambazo wamekuwa wakifuatilia mbinu za kuwa CHAWA kama kiongozi wao Lucas Mwashambwa.
Your JF reporter kutoka kwa ground.