Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake, ataimiliki nyumba ya Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho

Qur'ani ilisha wapa challenge hamjatoa jibu leo zaidi ya miaka 1448 ilisema Ibrahim sio Yahudi na wala sio Kristo sa vipi mseme Yakobo ni Myahudi 😆 😂

Lazima mfahamu Israel na Bani Israel sio wote Wayahudi na Sio Wote Wakristo Wapo walio ongoka ndio Waislam na Wapo walio potea ni Wayahudi na Wakristo.
 
Mimi nafarijika nikisoma kitabu Cha Joshua, hiv haiwezekani kuwa na ktabu Cha Netanyahu S.A.W
 
Qur'ani ilisha wapa challenge hamjatoa jibu leo zaidi ya miaka 1448 ilisema Ibrahim sio Yahudi na wala sio Kristo sa vipi mseme Yakobo ni Myahudi 😆 😂

Lazima mfahamu Israel na Bani Israel sio wote Wayahudi na Sio Wote Wakristo Wapo walio ongoka ndio Waislam na Wapo walio potea ni Wayahudi na Wakristo.
Hiyo quaran Yako inakudanganya.
 
Luka 1:32-33 Yeye atakuwa mkuu, naye ataitwa Mwana wa Aliye Juu Sana. Bwana Mwenyezi Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi baba yake. 33 Ataimiliki nyumba ya Yakobo milele, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.”

Hayo ni maneno ya nani ??
 
Back
Top Bottom